Wasanii wa Bongo Flava Harmonize na Mbosso wameachia rasmi video ya wimbo wao mpya unaoitwa “Leo”, ambao tayari umeanza kuvuta hisia za mashabiki wa muziki wa Tanzania na Afrika Mashariki.