𝐍𝐀𝐈𝐁𝐔 𝐖𝐀𝐙𝐈𝐑𝐈 𝐃𝐊𝐓. 𝐄𝐕𝐀𝐋𝐈𝐍𝐄 𝐌𝐔𝐍𝐈𝐒𝐈 𝐀𝐏𝐎𝐊𝐄𝐀 𝐙𝐀𝐖𝐀𝐃𝐈 𝐊𝐔𝐓𝐎𝐊𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐀𝐒𝐊𝐎𝐅𝐔 𝐃𝐊𝐓. 𝐊𝐄𝐒𝐇𝐎𝐌𝐒𝐇𝐀𝐇𝐀𝐑𝐀 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Saturday, July 4, 2026

𝐍𝐀𝐈𝐁𝐔 𝐖𝐀𝐙𝐈𝐑𝐈 𝐃𝐊𝐓. 𝐄𝐕𝐀𝐋𝐈𝐍𝐄 𝐌𝐔𝐍𝐈𝐒𝐈 𝐀𝐏𝐎𝐊𝐄𝐀 𝐙𝐀𝐖𝐀𝐃𝐈 𝐊𝐔𝐓𝐎𝐊𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐀𝐒𝐊𝐎𝐅𝐔 𝐃𝐊𝐓. 𝐊𝐄𝐒𝐇𝐎𝐌𝐒𝐇𝐀𝐇𝐀𝐑𝐀

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi Ajira na Mahusiano Mhe. Dkt. Evaline Munisi (Kulia) akipokea Zawadi mbalimbali kutoka kwa Askofu wa KKKT - Dayosisi ya Kaskazini Magharibi Baba Askofu Dkt. Abednego Keshomshahara (Kushoto) katika Harambee ya Ujenzi wa Kanisa la KKKT Usharika wa Ndolage Dayosisi ya Kaskazini Magharabi leo Julai 04, 2026 Wilayani Muleba, Mkoani Kagera.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad