𝐌𝐀𝐊𝐀𝐌𝐔 𝐖𝐀 𝐑𝐀𝐈𝐒 𝐀𝐒𝐇𝐈𝐑𝐈𝐊𝐈 𝐊𝐈𝐊𝐀𝐎 𝐂𝐇𝐀 𝐍𝐄𝐂 𝐂𝐇𝐀 𝐌𝐊𝐎𝐀 𝐖𝐀 𝐃𝐎𝐃𝐎𝐌𝐀 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Saturday, July 4, 2026

𝐌𝐀𝐊𝐀𝐌𝐔 𝐖𝐀 𝐑𝐀𝐈𝐒 𝐀𝐒𝐇𝐈𝐑𝐈𝐊𝐈 𝐊𝐈𝐊𝐀𝐎 𝐂𝐇𝐀 𝐍𝐄𝐂 𝐂𝐇𝐀 𝐌𝐊𝐎𝐀 𝐖𝐀 𝐃𝐎𝐃𝐎𝐌𝐀

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (CCM) ambaye ni mlezi wa CCM Mkoa wa Dodoma, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameshiriki Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dodoma, kilichofanyika katika Ofisi za CCM Mkoa wa Dodoma leo tarehe 04 Julai 2026

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad