Kujenga maisha na mume wako kwa miaka mingi ni safari inayohitaji juhudi, uvumilivu, na upendo wa dhati.
Hata hivyo, pale msiba unapotokea na mume wako kufariki dunia, kisha ndugu zake wanapogeuka kuwa maadui na kukuvua kila kitu ulichokipigania, maisha hugeuka kuwa jehanum ya papo hapo.
Baada ya mume wangu kufariki ghafla, nilijikuta kwenye mateso makubwa yasiyoelezeka. Wajomba na kaka zake walipanga safu ya kunivua haki zote za ujane.










No comments:
Post a Comment