𝐍𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎𝐏𝐀𝐓𝐀 𝐀𝐅𝐘𝐀 𝐁𝐀𝐀𝐃𝐀 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐈𝐒𝐇𝐈 𝐊𝐖𝐀 𝐌𝐀𝐔𝐌𝐈𝐕𝐔 𝐘𝐀𝐒𝐈𝐘𝐎𝐈𝐒𝐇𝐀 𝐊𝐈𝐋𝐀 𝐒𝐈𝐊𝐔
-----------------------
Nilikuwa naishi maisha ya maumivu kwa muda mrefu sana. Kila siku nilikuwa naamka nikiwa na uchovu, maumivu ya mwili, na hali ya kutokuwa sawa bila kuelewa chanzo chake.
Nilizunguka hospitali nyingi nikitafuta majibu.
Vipimo vilifanyika, dawa nikapewa, lakini hali haikubadilika. Wakati mwingine nilihisi nafuu kidogo, lakini baadaye maumivu yalirudi tena. Maisha yangu yalibadilika kabisa. Nilishindwa kufanya kazi vizuri, hata mambo madogo yalikuwa magumu kwangu.










No comments:
Post a Comment