𝐌𝐀𝐆𝐀𝐙𝐄𝐓𝐈 𝐘𝐀 𝐉𝐔𝐌𝐀𝐓𝐀𝐓𝐔 𝐀𝐆𝐎𝐒𝐓𝐈 𝟐𝟒,𝟐𝟎𝟐𝟔 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Monday, August 24, 2026

𝐌𝐀𝐆𝐀𝐙𝐄𝐓𝐈 𝐘𝐀 𝐉𝐔𝐌𝐀𝐓𝐀𝐓𝐔 𝐀𝐆𝐎𝐒𝐓𝐈 𝟐𝟒,𝟐𝟎𝟐𝟔


𝐌𝐔𝐌𝐄 𝐖𝐀𝐍𝐆𝐔 𝐀𝐋𝐈𝐊𝐔𝐖𝐀 𝐀𝐊𝐈𝐌𝐀𝐋𝐈𝐙𝐀 𝐌𝐈𝐒𝐇𝐀𝐇𝐀𝐑𝐀 𝐘𝐎𝐓𝐄 𝐍𝐀 𝐖𝐀𝐍𝐀𝐖𝐀𝐊𝐄 𝐍𝐉𝐄, 𝐌𝐏𝐀𝐊𝐀 𝐌𝐆𝐀𝐍𝐆𝐀 𝐀𝐋𝐈𝐏𝐎𝐌𝐅𝐀𝐍𝐘𝐀 𝐀𝐓𝐔𝐋𝐈𝐄 𝐊𝐀𝐁𝐈𝐒𝐀 𝐍𝐘𝐔𝐌𝐁𝐀𝐍𝐈.

Kuingia kwenye ndoa na kuweka nia ya kujenga misingi thabiti ya kifedha na mumeo ni ndoto ya kila mwanamke, lakini pale ambapo mwanaume anapofanya kazi kwa bidii kisha anachukua mshahara wake wote na kuutumia na michepuko, maisha ya familia hugeuka kuwa mateso ya kila siku.

Kwa zaidi ya miaka minne, mume wangu alikuwa na tabia iliyostua na kuumiza sana. Kila mwisho wa mwezi ulipowadia na mshahara wake kuingia kwenye akunti, alibadilika ghafla. Hakurejea nyumbani kwa siku tatu au nne, na simu zake zote zilikuwa hazipatikani.

​Aliporejea, alikuja na mifuko mikavu bila hata shilingi mia moja ya matumizi. Pesa zote za mshahara alizimalizia kwenye hoteli za kifahari, baa, na kuwanunulia zawadi za ghali wanawake wa nje, huku mimi na watoto tukibaki bila chakula, tukidaiwa kodi ya nyumba, na watoto wakifukuzwa shuleni kwa kukosa ada.

ENDELEA KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad