Katika umri wa utu uzima, furaha kuu ya mzazi ni kushuhudia watoto uliowalea kwa shida na tabu wakikua kwa nidhamu, heshima, na kuwa nguzo ya familia.
Hata hivyo, pale mtoto wako wa kwanza ambaye ndiye tegemeo na mfano kwa wadogo zake anapogeuka ghafla, kuanza kukudharau, na kutumbukia kwenye matumizi ya dawa za kulevya, amani ya nyumba hutoweka kabisa.
Kwa zaidi ya miaka mitatu, nilipitia maumivu makubwa ya nafsi kutoka kwa mwanangu mkubwa aliyekuwa na umri wa miaka 24.










No comments:
Post a Comment