Kuhitimu masomo ya elimu ya juu na kushika vyeti vya taaluma ni hatua inayompa kila kijana matumaini makubwa ya kupata ajira na kujenga maisha yake.
Hata hivyo, pale unapohangaika kutuma maombi ya kazi kwa miaka mitano mtawalia bila hata kuitwa kwenye usahili mmoja, maisha hugeuka kuwa chanzo cha maumivu makubwa na kukata tamaa.
Baada ya kumaliza masomo yangu ya chuo kikuu, nilikuwa na ndoto kubwa za kupata ajira nzuri ili kuwasaidia wazazi wangu waliopambana kunisomesha kwa shida. Hata hivyo, mambo yalikwenda tofauti kabisa.










No comments:
Post a Comment