Ndoa ni chombo kinachopaswa kuendeshwa kwa furaha, kuheshimiana, na amani. Hata hivyo, pale ambapo nyumba inageuka kuwa uwanja wa mapambano na majadiliano madogo yanapomalizika kwa matusi na vitisho vya talaka, maisha ya mume na mke huwa mateso makubwa.
Kwa miaka kumi nilikuwa kwenye ndoa niliyoidhania kuwa ya mfano, lakini ghafla mambo yalibadilika kabisa. Mume wangu alipoteza kabisa upendo na heshima kwangu, akaanza kutoka usiku wa manane, na kila nilipojaribu kuongea naye, alijibu kwa dharau na kusema ananiandalia barua ya talaka ili nitoke kwenye nyumba yake.










No comments:
Post a Comment