Kupata mpenzi sahihi wa kujenga naye maisha na kuanzisha familia ni ndoto ya kila mwanamke, lakini pale kila mahusiano yanapovunjika ghafla hasa unapokaribia hatua ya ndoa, maisha hugeuka kuwa mateso na aibu kubwa.
Kwa zaidi ya miaka saba, nilijikuta kwenye mzunguko wa ajabu na wa kikatili. Nilianzisha mahusiano na wanaume tofauti, wote wakionyesha nia ya dhati ya kunioa.
Lakini kila tulipofikia hatua ya kutambulishana ukweni, kupanga tarehe ya harusi, au kutoa mahari, mambo yaliharibika ghafla bila sababu za msingi. Mwanaume alibadilika, akawa mkali, au akatokomea kabisa na kukata mawasiliano.










No comments:
Post a Comment