Kujenga familia na mume wako kwa miaka mingi ni safari inayohitaji juhudi na upendo wa dhati, lakini pale ambapo mwanamke mwingine anapoingilia ndoa yako na kumng’oa mume wako nyumbani, maumivu yake ni mazito mno.
Kwa miezi sita, nilipitia kipindi kigumu zaidi maishani mwangu baada ya mume wangu wa ndoa kufungasha virago na kunitelekeza mimi na watoto wetu.
Alihamia kabisa kwa mwanamke mwingine aliyekuwa akimfanyia hila za kishirikina. Mume wangu alibadilika ghafla; akaacha kutoa matumizi ya nyumbani, akakata mawasiliano na sisi, na hata nilipojaribu kumtafuta alinijibu kwa matusi makali na kusema hanitaki tena.
Nilibaki nikilia usiku kucha huku watoto wakiniuliza baba yao yuko wapi, nikiwa sina wa kunisaidia.👉ENDELEA KUSOMA










No comments:
Post a Comment