Mheshimiwa George Mcheche Masaju, Jaji Mkuu wa Tanzania akimuapisha, Mhe. Deogratius John Ndejembi kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino, Mkoani Dodoma 29,Agosti, 2026
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiteta jambo na Mhe. Deogratius John Ndejembi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya hafla ya uapisho iliyofanyika Ikulu ya Chamwino, Mkoani Dodoma.


Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza na viongozi mbalimbali kwenye hafla ya uapisho wa Mhe. Deogratius John Ndejembi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ikulu ya Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 29 Agosti, 2026.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya uapisho wa Mhe. Deogratius John Ndejembi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ikulu ya Chamwino, Mkoani Dodoma Agosti 29, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa kwenye picha na Mhe. Deogratius John Ndejembi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pamoja na Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya hafla ya uapisho iliyofanyika Ikulu ya Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 29 Agosti, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa kwenye picha na Mhe. Deogratius John Ndejembi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi baada ya hafla ya uapisho iliyofanyika Ikulu ya Chamwino, Mkoani Dodoma Agosti 29, 2026.
----------------
NILIVYOMREJESHA EX WANGU BAADA YA MIAKA YA MAUMIVU NA KUTOKUWA NA UWEZEKANO
-----------
Mimi nilikuwa kwenye maumivu makubwa baada ya kuachwa na mtu niliyempenda kwa moyo wangu wote.
Ilikuwa ni miaka mingi ya ukimya, maumivu, na maswali yasiyo na majibu. Nilijaribu kusonga mbele, lakini kila mara nilijikuta nikikumbuka yale tuliyokuwa nayo.
Ilikuwa ngumu sana kumtoa kabisa moyoni mwangu.
Baada ya muda, nilianza kukubali kwamba labda mambo yameisha kabisa na sina tena nafasi ya kurekebisha chochote. Siku moja nilimweleza rafiki yangu wa karibu kuhusu hisia zangu.





































No comments:
Post a Comment