Msanii wa muziki wa Injili, Jesca Simuchile, ameendelea na safari yake ya kuhubiri kupitia muziki kwa kuachia rasmi wimbo wake mpya unaoitwa “Kaa Nami Bwana”, ikiwa ni kazi mpya inayokuja baada ya mfululizo wa nyimbo zake zilizogusa mioyo ya wapenzi wa muziki wa Injili.
Safari ya Jesca Simuchile katika kipindi hiki ilianza na wimbo “Tuimbe Tumepona” aliomshirikisha Ev. Daniel Safari, kazi iliyotolewa ikiwa na ujumbe wa matumaini, ushuhuda na kumshukuru Mungu kwa wema wake.
Baada ya hapo, Jesca aliendelea na kazi yake kupitia wimbo “Neema Ingalipo”, uliobeba ujumbe wa imani na matumaini, akisisitiza kuwa neema ya Mungu bado ipo kwa wanaomwamini na kumtumainia.
Agosti 2026, msanii huyo akaendelea na mfululizo huo kwa kuachia “Ndoa Iheshimiwe”, wimbo unaobeba mafundisho ya kibiblia kuhusu umuhimu wa kuheshimu, kulinda na kuthamini taasisi ya ndoa.
Sasa, Jesca Simuchile amerudi tena na “Kaa Nami Bwana”, wimbo mpya uliotolewa kwa mfumo wa Official Audio Music Lyrics, huku ukiwa na ujumbe wa kumwomba Mungu kukaa karibu na mwanadamu katika safari yake ya maisha.
Kupitia kazi hii mpya, Jesca anaendelea kuonyesha dhamira yake ya kutumia kipaji cha muziki kama chombo cha kufikisha ujumbe wa Injili, imani, matumaini na kumtegemea Mungu.
Kwa sasa, audio ya “Kaa Nami Bwana” tayari imeachiwa, huku mashabiki wakisubiri kwa hamu video rasmi ya wimbo huo, ambayo inatarajiwa kuja baadaye.
SIKILIZA “KAA NAMI BWANA” HAPA:
Kufikisha umri wa miaka arobaini nikiwa bado nipo peke yangu bila mume au familia ilikuwa ni chanzo cha maumivu makubwa na msongo wa mawazo katika maisha yangu.
Kila siku niliwatazama rafiki zangu wa rika moja, wadogo zangu, na hata majirani wakifunga ndoa na kujenga familia zenye furaha, huku mimi nikibaki nikilia kwa siri nyumbani kwangu.
Kila mwanamume aliyekuja kwenye maisha yangu na kuonyesha nia ya kunioa, pindi tu alipokaribia kuchukua hatua za kutambulishwa nyumbani, alitoweka ghafla bila sababu yoyote ya msingi au kuanzisha migogoro ya ajabu na kuondoka.
Nilibaki nikidharaulika mtaani, nikipewa majina ya kejeli na ndugu, huku nikianza kukubaliana na matokeo kuwa labda nimezaliwa niishi peke yangu hadi uzee.
Nikiwa kwenye simanzi nzito, shangazi yangu aliyekuwa akifahamu mateso yangu alinitembelea na kunieleza kuwa matatizo ya kukataliwa na kukosa mume katika umri mkubwa mara nyingi hutokana na nyota ya ...ENDELEA KUSOMA











No comments:
Post a Comment