Kufanya kazi kwa bidii, uaminifu, na kujituma kwa miaka mingi huku ukishuhudia wenzako uliowakuta wakipandishwa vyeo na kuongezewa mishahara ni jambo linaloumiza nafsi na kuvunja moyo.
Kwa zaidi ya miaka kumi, nilikuwa nikifanya kazi katika kampuni moja kubwa, nikijitoa kwa kila hali na kufanya kazi ngumu zaidi ya wengine. Hata hivyo, jina langu lilikuwa likirukwa kila mara fursa za kupanda cheo au kuongezewa mshahara zilipojitokeza.
Wafanyakazi wapya waliingia na kupandishwa vyeo juu yangu, huku mimi nikibaki kwenye nafasi ile ile ya chini yenye mshahara mdogo usiotosheleza hata mahitaji ya msingi ya familia yangu.










No comments:
Post a Comment