Siku kama ya leo 19 September ndio siku ya kuzaliwa Kiongozi wa bendi ya Ngoma Africa aka FFU ya kule Ujerumani, mwanamuziki Ebrahim Makunja aka kamanda Ras Makunja alimaarufu mkuu wa viumbe wa ajabu "Anunnaki Alien" alizaliwa mjini Dar-es-Salaam,Tanzania.
akiwa mtoto wa kwanza wa kiume wa Bw.Jumanne Saleh Makunja Ngayonga (RIP) na Bi.Moza Hassan Seifu Mpili (Mama Makunja),
Mwanamuziki Kamanda Ras Makunja mtunzi na mwimbaji mahili wa muziki wa dansi ambaye kwa takribani miaka 35 anatingisha majukwaa ya kimataifa,
Mwanamuziki huyu Ebrahim Makunja au kama anajulikana Kamanda Ras Makunja leo ndio Happy Birthday !!!!! yake
pia unaweza kuburudika na kusherekea naye katika kambi yao FFU-Ughaibuni at www.reverbnation.com/ ngomaafricaband
au www.facebook.com/ngomaafricaba nd













No comments:
Post a Comment