𝐉𝐈𝐍𝐒𝐈 𝐍𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎𝐌𝐅𝐀𝐍𝐘𝐀 𝐄𝐗 𝐖𝐀𝐍𝐆𝐔 𝐊𝐔𝐖𝐀 𝐎𝐁𝐒𝐄𝐒𝐒𝐄𝐃 𝐍𝐀 𝐌𝐈𝐌𝐈 𝐍𝐀 𝐊𝐔𝐍𝐈𝐑𝐔𝐃𝐈𝐀 𝐁𝐀𝐀𝐃𝐀 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐍𝐈𝐀𝐂𝐇𝐀 𝐊𝐈𝐒𝐇𝐀 𝐒𝐀𝐁𝐀𝐁𝐔 𝐒𝐏𝐎𝐍𝐒𝐎𝐑. - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Monday, September 7, 2026

𝐉𝐈𝐍𝐒𝐈 𝐍𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎𝐌𝐅𝐀𝐍𝐘𝐀 𝐄𝐗 𝐖𝐀𝐍𝐆𝐔 𝐊𝐔𝐖𝐀 𝐎𝐁𝐒𝐄𝐒𝐒𝐄𝐃 𝐍𝐀 𝐌𝐈𝐌𝐈 𝐍𝐀 𝐊𝐔𝐍𝐈𝐑𝐔𝐃𝐈𝐀 𝐁𝐀𝐀𝐃𝐀 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐍𝐈𝐀𝐂𝐇𝐀 𝐊𝐈𝐒𝐇𝐀 𝐒𝐀𝐁𝐀𝐁𝐔 𝐒𝐏𝐎𝐍𝐒𝐎𝐑.

Naitwa Sharon kutoka Meru. Sikuamini kabisa nilipofika hatua ya kuachwa na mtu niliyempenda kwa muda mrefu, hasa baada ya kuanza kubadilika na kuvutiwa na maisha ya kifahari kupitia sponsor.

 Mwanzoni uhusiano wetu ulikuwa mzuri sana.  Tulielewana, tulipendana, na kila kitu kilionekana kwenda sawa. 

Lakini kadri muda ulivyoenda, alianza kubadilika. Mazungumzo yakapungua, muda wangu kwake ukawa hauna thamani tena, na polepole nikaanza kuachwa pembeni. 

 Baada ya muda niligundua alikuwa amevutiwa na maisha mapya yenye fedha na watu waliompa kile alichokiona kama “bora zaidi” kuliko mimi. 

Hapo ndipo nilivunjika moyo kabisa.
Nilijaribu kumshawishi arudi, lakini kila jaribio lilikuwa bure. Alionekana kuwa mbali zaidi kila siku

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad