Jina langu ni Joseph. Kuwekeza jasho, muda, na akiba yako yote kwenye kilimo na ufugaji, kisha kushuhudia mazao na mifugo yako ikipotea au kuibiwa usiku wa kamba ni uchungu mkubwa unaoweza kukurudisha nyuma kimaisha na kukuacha kwenye umaskini na madeni.
Kwa miaka mitatu mfululizo, mradi wangu wa kilimo cha mahindi na ufugaji wa ng’ombe na mbuzi ulikuwa kama shimo la kutumbukiza pesa bila faida.
Kila msimu wa mavuno ulipofika, wezi walikuwa wakivamia shamba langu na kubeba mazao yote usiku, na kwenye zizi langu ng’ombe na mbuzi bora walikuwa wakipotea mmoja mmoja kwa njia za ajabu zisizoeleweka.










No comments:
Post a Comment