MRADI WA REGROW WAINUA UCHUMI WA WANAWAKE MIKUMI - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Friday, April 12, 2024

MRADI WA REGROW WAINUA UCHUMI WA WANAWAKE MIKUMI

Na:Yusuph Kayanda -Morogoro

Vikundi vya wakinamama Mkoani Morogoro,  wanaojihusisha na shughuli za ujasiliamali kupitia Benki za Hifadhi za Jamii COCOBA wametoa shuhuda zao za namna Serikali chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, kupitia Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Kukuza Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW) ilivyo weza  kuwainua  kiuchumi, na kuweza kujimudu kimaisha na kuchangia katika Pato la Taifa. 


 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad