WAHARIRI kutoka vyombo mbalimbali vya habari waliokuwa katika ziara ya kutembelea Kiwanda cha uzalishaji wa mipira ya mikono (GLOVES cha MSD kilichopo Idofi Makambako Mkoani Njombe, Julai 4, 2024 wakizungumza jijini Dodoma na Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Mavere Tukai walitoa pongenzi zao kwa Serikali na MSD kwakufanya mapinduzi ya uwekezaji wa kiwanda hicho kikubwa ambacho kinakwenda kuondoa changamoto ambayo ingezweza kutokea kwa kukosekana kwa mipira hiyo katika Hospitali, Vituo vya Afya na Zaanati hapa nchini.




0 Comments