John Mongella, Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, akizungumza na viongozi wa mashina na matawi ya CCM katika Halmashauri ya Msalala, mkoani Shinyanga. Mongella, ambaye pia ni mlezi wa chama kwa mkoa huo, yupo katika ziara ya siku saba inayolenga kukagua uhai wa chama na kuhakikisha utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka 2020-2024. Kesho, ataendelea na ziara yake katika Halmashauri ya Ushetu, ambako atafanya vikao vya ndani na vya hadhara kwa lengo la kuimarisha chama. 07/9/2024.
Saturday, September 7, 2024
MONGELLA ATETA NA VIONGOZI WA MASHINA/MATAWI KAHAMA
Tags
# Siasa
Kuhusu - Singidaniblog
Siasa
Tags:
Siasa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
𝗡𝗶 𝗰𝗵𝗼𝗺𝗯𝗼 𝗰𝗵𝗮 𝗵𝗮𝗯𝗮𝗿𝗶 𝗸𝗶𝗻𝗮𝗰𝗵𝗼𝘁𝗼𝗮 𝗵𝗮𝗯𝗮𝗿𝗶 𝗻𝗮 𝗺𝗮𝘁𝘂𝗸𝗶𝗼 𝗺𝗯𝗮𝗹𝗶𝗺𝗯𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗰𝗵𝗶𝗻𝗶 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗻𝗮 𝗸𝗼𝗸𝗼𝘁𝗲 𝗱𝘂𝗻𝗶𝗮𝗻𝗶 ,𝗸𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗷𝗮𝗹𝗶 𝘄𝗲𝗹𝗲𝗱𝗶 𝗻𝗮 𝘁𝗮𝗮𝗹𝘂𝗺𝗮 𝘆𝗮 𝗵𝗮𝗯𝗮𝗿𝗶. 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗧𝗔𝗡𝗚𝗔𝗭𝗢 𝗡𝗔 𝗛𝗨𝗗𝗨𝗠𝗔 𝗬𝗔 𝗛𝗔𝗕𝗔𝗥𝗜, 𝗪𝗔𝗦𝗜𝗟𝗜𝗔𝗡𝗔 𝗡𝗔𝗦𝗜, 𝟬𝟳𝟱𝟰 𝟯𝟲𝟮 𝟵𝟵𝟬. 𝟬𝟲𝟴𝟴 𝟵𝟭𝟰 𝟯𝟰𝟰 𝗘𝗺𝗮𝗶𝗹: 𝘀𝗶𝗻𝗴𝗶𝗱𝗮𝗻𝗶𝟳𝟳@𝗴𝗺𝗮𝗶𝗹.𝗰𝗼𝗺,















No comments:
Post a Comment