RAIS SAMIA AKUTANA NA MTENDAJI MKUU WA MILLENIUM CHALLENGE CORPORATION - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Thursday, October 31, 2024

RAIS SAMIA AKUTANA NA MTENDAJI MKUU WA MILLENIUM CHALLENGE CORPORATION

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na  Mtendaji Mkuu wa Millenium Challenge Corporation  Bi. Alice Albright kabla ya kuanza kwa mazungumzo yaliyolenga kukuza na kuimarisha mahusiano leo tarehe 30 Oktoba 2024, Des Moines, Iowa nchini Marekani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na  Mtendaji Mkuu wa Millenium Challenge Corporation  Bi. Alice Albright ambapo mazungumzo hayo yalijikita katika kukuza na kuimarisha mahusiano baina ya pande mbili hizo, leo tarehe 30 Oktoba 2024, Des Moines, Iowa nchini Marekani.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad