Mratibu wa TK Movement Wilaya ya Ikungi, Hussein Mseule (katikati) pamoja na na Mwakilishi wa Afisa Misitu wa Wilaya ya Ikungi, Emanuel Pius kushoto Wakimkabidhi miche ya miti Mkuu wa Shule ya Secondari ya Munkinya, Faraja Mlelwa wakati wa siku ya upadaji miti kitaifa.
Viongozi wa TK Movement wa Wilaya ya Ikungi, Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) Wilaya ya Ikungi, Viongozi wa Kata ya Dungunyi, Walimu na Wanafunzi wa shule ya Secondari ya Munkinya wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kushiriki upandaji wa miti.
Wanafunzi wakipata mafunzo ya umuhimu wa upandaji miti na utunzaji wa mazingira.
Sunday, March 23, 2025
TK MOVEMENT WILAYA YA IKUNGI YAONGOZA UPANDAJI MITI KITAIFA WILAYANI HUMO
Tags
# Habari
Kuhusu - Singidaniblog
Habari
Tags:
Habari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
𝗡𝗶 𝗰𝗵𝗼𝗺𝗯𝗼 𝗰𝗵𝗮 𝗵𝗮𝗯𝗮𝗿𝗶 𝗸𝗶𝗻𝗮𝗰𝗵𝗼𝘁𝗼𝗮 𝗵𝗮𝗯𝗮𝗿𝗶 𝗻𝗮 𝗺𝗮𝘁𝘂𝗸𝗶𝗼 𝗺𝗯𝗮𝗹𝗶𝗺𝗯𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗰𝗵𝗶𝗻𝗶 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗻𝗮 𝗸𝗼𝗸𝗼𝘁𝗲 𝗱𝘂𝗻𝗶𝗮𝗻𝗶 ,𝗸𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗷𝗮𝗹𝗶 𝘄𝗲𝗹𝗲𝗱𝗶 𝗻𝗮 𝘁𝗮𝗮𝗹𝘂𝗺𝗮 𝘆𝗮 𝗵𝗮𝗯𝗮𝗿𝗶. 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗧𝗔𝗡𝗚𝗔𝗭𝗢 𝗡𝗔 𝗛𝗨𝗗𝗨𝗠𝗔 𝗬𝗔 𝗛𝗔𝗕𝗔𝗥𝗜, 𝗪𝗔𝗦𝗜𝗟𝗜𝗔𝗡𝗔 𝗡𝗔𝗦𝗜, 𝟬𝟳𝟱𝟰 𝟯𝟲𝟮 𝟵𝟵𝟬. 𝟬𝟲𝟴𝟴 𝟵𝟭𝟰 𝟯𝟰𝟰 𝗘𝗺𝗮𝗶𝗹: 𝘀𝗶𝗻𝗴𝗶𝗱𝗮𝗻𝗶𝟳𝟳@𝗴𝗺𝗮𝗶𝗹.𝗰𝗼𝗺,












No comments:
Post a Comment