ALINIAHIDI NDOA KUMBE ALIKUWA ANITUMIA KIMYA KIMYA KUONGEZA UTAJIRI WAKE WA KIROHO - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Friday, August 1, 2025

ALINIAHIDI NDOA KUMBE ALIKUWA ANITUMIA KIMYA KIMYA KUONGEZA UTAJIRI WAKE WA KIROHO

Kwa kweli mapenzi huwa kipimo cha moyo wa binadamu.

 Nilipokutana na Joel, nilihisi kama ndoto zangu zote kuhusu mwanaume wa ndoto zangu zimefikia ukingoni. Alikuwa mpole, mchangamfu, mkarimu na mwenye ndoto za maisha. 

Aliniahidi kunioa, alinijumuisha kwa familia yake, na hata alijenga mazingira ya kuonyesha kuwa uhusiano wetu ulikuwa wa kudumu.

Kwa miaka miwili, nilimhudumia kama mke halali. 

Nilikuwa nikimpikia, kumfulia, hata kusaidia kwenye biashara zake za mtandaoni. Kila alipopata hela, aliniahidi kuninunulia pete ya uchumba na kunipeleka kumtambulisha kwa wazazi wake rasmi.

 Lakini siku zilikuwa zinapita bila hatua yoyote...SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad