Watu walibaki midomo wazi wakishindwa kuamini kwamba wake waliompa upendo na kumuita mume wangeweza kumgeuka kwa mpango wa kifamilia uliojaa usaliti.
Kwa miaka mingi, mwanaume huyo alikuwa na heshima kubwa. Alijulikana kama mjasiriamali aliyefanikisha biashara ndogondogo za kilimo na mifugo. Wake zake walionekana mara nyingi wakimsaidia kwenye shughuli za nyumbani na mashambani.
Kwa nje walionekana familia ya mfano, lakini ndani ya nyumba yao kulikuwa na siri nzito iliyokuwa ikichomeka taratibu. Wake hao wawili waliunda ushirikiano wa faragha, wakiamua kwamba badala ya kugawana mali ikiwa atafariki au atapoteza nguvu za kufanya kazi, walichukua hatua ya kuandaa mpango wa haraka wa kumdhalilisha na kumnyang’anya kila kitu...........SOMA ZAIDI










No comments:
Post a Comment