MWANAFUNZI WA CHUO AGHAIRI KUHAMA CHUMBA BAADA YA KUGUNDUA ANAISHI NA ROHO YA MTU ALIYEUAWA - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Monday, August 11, 2025

MWANAFUNZI WA CHUO AGHAIRI KUHAMA CHUMBA BAADA YA KUGUNDUA ANAISHI NA ROHO YA MTU ALIYEUAWA

Wanafunzi katika chuo kimoja mashuhuri walishtuka baada ya kusambaa habari kwamba mwanafunzi mmoja alikuwa akiishi katika chumba chenye historia ya mauaji. 

Tukio hilo lilizua taharuki, huku baadhi wakidai kuwa walihisi upepo wa baridi na harufu isiyo ya kawaida walipopita karibu na mlango wa chumba hicho.

Kwa mujibu wa mashuhuda, chumba hicho kilikuwa kimefungwa kwa muda mrefu kabla ya kutolewa kwa mwanafunzi huyo mpya.

 Wengine walidai waliwahi kusikia miguno na milango kugonga usiku wa manane, lakini walichukulia kama hadithi za kutisha za wanafunzi.

 Mwanafunzi huyo, kwa jina Grace (jina limebadilishwa), alikuwa amepanga kuhama mara moja baada ya kugundua ukweli wa historia ya chumba hicho...SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad