DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA WANANCHI SINGIDA - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Tuesday, September 9, 2025

DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA WANANCHI SINGIDA

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Singida katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho zilizofanyika katika uwanja wa Bombadia mkoani Singida tarehe 09 Septemba, 2025.
 Sehemu ya Wananchi wa Singida waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika uwanja wa Bombadia mkoani Singida tarehe 09 Septemba, 2025.
 Sehemu ya Wananchi wa Singida waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika uwanja wa Bombadia mkoani Singida tarehe 09 Septemba, 2025.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad