DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AWAHUTUBIA WANANCHI WA MKOA WA KIGOMA - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Sunday, September 14, 2025

DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AWAHUTUBIA WANANCHI WA MKOA WA KIGOMA

 Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kigoma waliohudhuria mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho uliofanyika katika uwanja wa Katosho mkoani humo tarehe 14 Septemba, 2025.
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga picha ya selfie na wagombea Ubunge wa majimbo ya Mkoa wa Kigoma mara baada ya kuhutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Katosho mkoani Kigoma tarehe 14 Septemba, 2025.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad