NILIPIGWA NA KUDHALILISHWA KILA SIKU, LAKINI SIKUMWACHA SIRI NILIYOFICHUA ILIBADILISHA NDOA YANGU - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Tuesday, September 9, 2025

NILIPIGWA NA KUDHALILISHWA KILA SIKU, LAKINI SIKUMWACHA SIRI NILIYOFICHUA ILIBADILISHA NDOA YANGU

Nilikua nimeolewa na mwanaume ambaye nilimpenda kwa moyo wangu wote.

 Nilikuwa tayari kuvumilia shida na changamoto za ndoa kwa sababu nilimwamini na nilijua tulikusudiwa kuwa pamoja.

 Lakini miaka ilivyopita, mambo yakabadilika.

Upendo wake ulibadilika kuwa ukatili. 

Kila mara tulipopishana kidogo, mkono wake ndio ulikuwa majibu. Nilijikuta nikilia kila usiku, lakini moyo wangu ulikataa kabisa kumwacha.

 Nilimpenda zaidi ya maumivu niliyopitia.

Majirani na marafiki walinipa ushauri kwamba niondoke. Waliniambia maisha yangu yalikuwa hatarini na ningejipoteza bure. 

Lakini nilijua ndani ya moyo wangu sitaki kumuacha.

Niliona kitu ndani yake ambacho wengine hawakuona.

 Nilijua alikuwa mtu mzuri ila amefunikwa na hasira na roho mbaya. Nilimpenda sana hadi nikawa tayari kuvumilia.

 Nilichotaka ni amani, sio talaka..

SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad