SHULENI WALIMUITA “KICHWA MAJI” ILA SASA ANA SHULE YAKE - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Tuesday, September 9, 2025

SHULENI WALIMUITA “KICHWA MAJI” ILA SASA ANA SHULE YAKE

Katika kijiji kimoja wilayani Tarime, aliishi kijana aitwaye Emmanuel. Tofauti na watoto wengine, Emmanuel hakuwa kijana mwenye akili ya kung’aa darasani. 

Mara zote alipopewa mitihani, jina lake lilikuwa likiorodheshwa nafasi ya mwisho. Walimu wake walijitahidi kumsaidia, lakini bado hakufaulu.

 Wanafunzi wenzake walimcheka kila mara wakimwita majina ya kubeza kama “kichwa maji” au “mjinga wa darasa.” SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad