MTANDAO ULINIVURUGA AKILI KUPUMZIKA KULIRUDISHA MWELEKEO WA MAISHA YANGU - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Thursday, December 25, 2025

MTANDAO ULINIVURUGA AKILI KUPUMZIKA KULIRUDISHA MWELEKEO WA MAISHA YANGU

Sikutambua mapema kuwa mtandao ulikuwa unanimeza polepole.

 Nilikuwa nikiamka na simu mkononi, kulala nikiwa napitia mitandao ya kijamii, na hata kazi zangu nilizifanya huku macho yangu yakirudi mara kwa mara kwenye skrini.

Kwa nje nilionekana sawa, lakini ndani akili yangu ilikuwa imechoka, imejaa mawazo, wivu.. Endelea Kusoma

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad