BINTI ALIYEKATA TAMAA BAADA YA KUACHWA NA KILA MWANAUME, KUMBE NYOTA YAKE ILIKUWA IMEFUNIKWA NA VUMBI LA KICHAWI! - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Sunday, March 8, 2026

BINTI ALIYEKATA TAMAA BAADA YA KUACHWA NA KILA MWANAUME, KUMBE NYOTA YAKE ILIKUWA IMEFUNIKWA NA VUMBI LA KICHAWI!

Binti aliyekata tamaa baada ya kuachwa na kila mwanaume, kumbe nyota yake ilikuwa imefunikwa na vumbi la kichawi!

Naitwa Hadija, binti ambaye nilijaliwa kila kitu na Mwenyezi Mungu; kuanzia sura ya kuvutia, umbo la kumshtua kila mpita njia, hadi kazi nzuri katika taasisi moja ya kifedha hapa jijini Arusha. Lakini pamoja na uzuri wote huo, maisha yangu ya mapenzi yalikuwa ni giza totoro.

Kwa zaidi ya miaka tisa, niliishi maisha ya upweke uliokithiri. Kila mwanaume niliyeingia naye kwenye mahusiano, alikuwa anakaa kwa mwezi mmoja au miwili, kisha anapotea bila sababu.

Wengine walikuwa wakiahidi kunioa kabisa, lakini punde tu siku ya kwenda kutoa barua kwa wazazi ilipokaribia, walikuwa wakipata matatizo au wanabadilika tabia na kuwa watu wa ajabu. Nilianza kujihisi nina nuksi na kuanza kujitenga na marafiki zangu.

ENDELEA KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad