MAKAMU WA RAIS AKISHIRIKI IFTARI NA WANANCHI WA MKOA WA RUVUMA - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Sunday, March 15, 2026

MAKAMU WA RAIS AKISHIRIKI IFTARI NA WANANCHI WA MKOA WA RUVUMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akijumuika na Wananchi mbalimbali wa Mkoa wa Ruvuma wakiwemo, watu wenye mahitaji maalum, Viongozi wa Serikali,Vyama na Taasisi za Dini, katika Iftar aliyowaandalia, iliyofanyika Songea mkoani Ruvuma, Machi 14.2026.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad