KUMBE MUME WANGU ALITAKA MTOTO WA KIUME WA KUMRITHI - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Friday, March 6, 2026

KUMBE MUME WANGU ALITAKA MTOTO WA KIUME WA KUMRITHI

Kumbe mume wangu alitaka mtoto wa kiume wa kumrithi.
........................................

Naitwa Anna, ndoa yangu ilikuwa na amani kwa mwaka mmoja wa kwanza tu, lakini miaka sita iliyofuata ilikuwa ni kizaazaa. Mume wangu, ambaye ni askari, alikuwa na msimamo mkali na alianza kuniambia waziwazi kuwa kama sitampa mtoto wa kiume wa kumrithi, basi nitafute kwingine kwa kuolewa maana hataki “hasara” ndani ya nyumba.

Nilihisi dunia inanizunguka, nikawa naishi kwa hofu ya kufukuzwa kila siku huku marafiki zangu wakinitenga wakihisi nina mkosi.

Nilikunywa kila aina ya mizizi niliyoelekezwa na bibi wa vijijini, na nilijaribu kliniki zote kubwa za uzazi mkoani kwetu, lakini majibu yalikuwa ni yale yale – kila kitu kiko sawa lakini mimba haishiki. Nilianza kujiona kama mwanamke aliyelaaniwa, na kila nilipoona nguo za watoto zimeanikwa kwa jirani, nilikuwa naangua kilio cha uchungu ndani ya chumba changu.

Siku moja nikiwa nimekaa kwenye kiti cha kusubiri abiria katika uwanja wa ndege nikielekea Dar es Salaam, nilimsikia mwanamke mmoja aliyevaa vizuri sana akizungumza kwenye simu kwa sauti ya ushindi.

ENDELEA KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad