MAKAMU WA RAIS AKISAFIRI KWA SGR KUELEKEA MOROGORO KWENYE MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Sunday, March 22, 2026

MAKAMU WA RAIS AKISAFIRI KWA SGR KUELEKEA MOROGORO KWENYE MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akisafiri kwa Treni ya Kisasa ya Umeme ya SGR kutoka Dar es Salaam kuelekea Morogoro leo tarehe 21 Machi 2026.

Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Maji, yatakayofanyika mkoani Morogoro,Machi 22,2026

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad