NJIA 7 ZA KUONGEZA MAUZO YA BIASHARA YAKO NDANI YA MUDA MFUPI ZENYE MATOKEO MAKUBWA - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Wednesday, March 25, 2026

NJIA 7 ZA KUONGEZA MAUZO YA BIASHARA YAKO NDANI YA MUDA MFUPI ZENYE MATOKEO MAKUBWA

Nilikuwa nimefikia hatua ya kukata tamaa kabisa na biashara yangu. Mimi ni Kelvin kutoka Dar es Salaam, na nilikuwa nikiendesha biashara ya vifaa vya simu ambayo ilikuwa inadorora kila siku. Mauzo yalikuwa madogo, wateja wachache, na gharama zilikuwa zinaongezeka bila faida yoyote ya kuridhisha.

Nilijaribu kila kitu—matangazo mitandaoni, punguzo la bei, na hata kubadilisha eneo la biashara, lakini bado hali haikubadilika. Nilianza kufikiria kufunga kabisa biashara yangu kwa sababu sikuona mwanga wa mafanikio.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad