MAMA MKWE AKIRI KUMPENDA MKWE WAKE, NDOA HATARINI KABISA - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Wednesday, April 8, 2026

MAMA MKWE AKIRI KUMPENDA MKWE WAKE, NDOA HATARINI KABISA

Siku ile ilianza kama siku ya kawaida nyumbani kwangu, lakini haikuchukua muda kabla mambo hayajageuka kuwa full drama ambayo sikuwa tayari kuikabili. Nilikuwa nimeanza kuona tabia zisizoeleweka kutoka kwa mama mkwe wangu, lakini sikuwahi kufikiria kuwa mambo yangefika hapo.


Alianza kuwa too close na mume wangu. Mara nyingi walikuwa wanacheka peke yao, kuongea kwa siri, na hata kukaa pamoja kwa muda mrefu bila sababu ya msingi. Nilijaribu kupuuza, nikidhani labda ni ukaribu wa kawaida wa familia.


Lakini siku moja, nilisikia mazungumzo ambayo yalibadilisha kila kitu. Mama mkwe wangu alikuwa akimwambia mume wangu maneno ya ajabu ambayo hayakuwa ya kawaida kabisa. Nilihisi damu ikipanda kichwani. Nilijikuta nikiingia chumbani ghafla, na wote wakabaki kimya.

SOMA   ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad