𝐇𝐀𝐉𝐈 𝐌𝐀𝐍𝐀𝐑𝐀 𝐌𝐒𝐄𝐌𝐀𝐉𝐈 𝐖𝐀 𝐓𝐈𝐌𝐔 𝐙𝐀 𝐓𝐀𝐈𝐅𝐀 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Thursday, May 28, 2026

𝐇𝐀𝐉𝐈 𝐌𝐀𝐍𝐀𝐑𝐀 𝐌𝐒𝐄𝐌𝐀𝐉𝐈 𝐖𝐀 𝐓𝐈𝐌𝐔 𝐙𝐀 𝐓𝐀𝐈𝐅𝐀

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amemteua Haji Manara kuwa msemaji wa timu zote za Taifa za Tanzania. 

Akizungumza na waandishi wa habari kwenye Viwanja vya Bunge jijini Dodoma leo Mei 28, 2026, Waziri Makonda amesema Haji atafanya kazi chini ya Baraza la Michezo la Taifa (BMT) na atazisemea timu zote za Taifa za mpira wa miguu…@tanfootball @taifastars_

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad