Sikuwahi kufikiria kwamba siku moja mume wangu angeondoka nyumbani bila maelezo ya kueleweka na kuniacha kwenye hofu kubwa kiasi kile. Tulikuwa tumeishi pamoja kwa miaka kadhaa. Kama ndoa nyingine, tulikuwa na changamoto zetu, lakini nilikuwa naamini bado tulikuwa tunapendana na kujitahidi kuijenga familia yetu.
Lakini ghafla mambo yakabadilika. Mume wangu alianza kuwa mtu wa tofauti. Alikuwa mkimya sana, mwenye mawazo mengi, na wakati mwingine alikuwa anakaa mbali nami kana kwamba kuna kitu kilikuwa kinamsumbua lakini hataki kusema.....Endelea Kusoma










No comments:
Post a Comment