𝐍𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎𝐒𝐇𝐈𝐍𝐃𝐀 𝐊𝐄𝐒𝐈 𝐘𝐀 𝐀𝐑𝐃𝐇𝐈 𝐁𝐀𝐀𝐃𝐀 𝐘𝐀 𝐌𝐈𝐀𝐊𝐀 𝐌𝐈𝐓𝐀𝐓𝐔 𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐇𝐀𝐊𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐍𝐀 𝐊𝐀𝐑𝐈𝐁𝐔 𝐊𝐔𝐏𝐎𝐓𝐄𝐙𝐀 𝐊𝐈𝐋𝐀 𝐊𝐈𝐓𝐔 𝐍𝐈𝐋𝐈𝐂𝐇𝐎𝐑𝐈𝐓𝐇𝐈 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Friday, May 29, 2026

𝐍𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎𝐒𝐇𝐈𝐍𝐃𝐀 𝐊𝐄𝐒𝐈 𝐘𝐀 𝐀𝐑𝐃𝐇𝐈 𝐁𝐀𝐀𝐃𝐀 𝐘𝐀 𝐌𝐈𝐀𝐊𝐀 𝐌𝐈𝐓𝐀𝐓𝐔 𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐇𝐀𝐊𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐍𝐀 𝐊𝐀𝐑𝐈𝐁𝐔 𝐊𝐔𝐏𝐎𝐓𝐄𝐙𝐀 𝐊𝐈𝐋𝐀 𝐊𝐈𝐓𝐔 𝐍𝐈𝐋𝐈𝐂𝐇𝐎𝐑𝐈𝐓𝐇𝐈

Kulikuwa na kipindi maishani mwangu ambapo nilihisi kama kila kitu nilichorithi kutoka kwa wazazi wangu kilikuwa karibu kupotea. Baada ya baba yangu kufariki, aliacha kipande cha ardhi ambacho familia yetu ilikuwa ikikitegemea sana.

Tuliamini kila kitu kilikuwa sawa kwa sababu tulikuwa tunajua historia ya ardhi ile tangu zamani. Lakini ghafla mambo yalibadilika pale mtu mmoja alipojitokeza akidai sehemu ile ilikuwa yake.

Mwanzoni nilidhani ni misunderstanding ya kawaida. Lakini baada ya muda, jambo lile likafika hadi mahakamani. Nilishangaa kuona documents zikiletwa, madai tofauti tofauti yakitolewa, na watu ambao sikuwa nawafahamu wakihusika kwenye kesi ile.

KUENDELEA  KUSOMA.....BOFYA    HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad