𝐍𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎𝐌𝐏𝐀𝐓𝐀 𝐍𝐃𝐔𝐆𝐔 𝐘𝐀𝐍𝐆𝐔 𝐀𝐋𝐈𝐘𝐄𝐓𝐎𝐖𝐄𝐊𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐌𝐈𝐄𝐙𝐈 𝐌𝐈𝐍𝐍𝐄 𝐁𝐀𝐀𝐃𝐀 𝐘𝐀 𝐅𝐀𝐌𝐈𝐋𝐈𝐀 𝐘𝐄𝐓𝐔 𝐊𝐔𝐊𝐀𝐓𝐀 𝐓𝐀𝐌𝐀𝐀 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐌𝐔𝐎𝐍𝐀 𝐓𝐄𝐍𝐀 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Saturday, May 23, 2026

𝐍𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎𝐌𝐏𝐀𝐓𝐀 𝐍𝐃𝐔𝐆𝐔 𝐘𝐀𝐍𝐆𝐔 𝐀𝐋𝐈𝐘𝐄𝐓𝐎𝐖𝐄𝐊𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐌𝐈𝐄𝐙𝐈 𝐌𝐈𝐍𝐍𝐄 𝐁𝐀𝐀𝐃𝐀 𝐘𝐀 𝐅𝐀𝐌𝐈𝐋𝐈𝐀 𝐘𝐄𝐓𝐔 𝐊𝐔𝐊𝐀𝐓𝐀 𝐓𝐀𝐌𝐀𝐀 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐌𝐔𝐎𝐍𝐀 𝐓𝐄𝐍𝐀

Siku ambayo ndugu yangu alitoweka ni siku ambayo sitawahi kuisahau maishani mwangu. Tulikuwa familia ya karibu sana.

 Ingawa kila mmoja alikuwa na maisha yake, tulikuwa tunawasiliana mara kwa mara. Ndugu yangu alikuwa mtu wa kupenda familia, mchangamfu, na hakuwa mtu wa kukaa kimya kwa muda mrefu bila kutoa taarifa.

Ndiyo maana kila kitu kilipoanza, hakuna aliyedhani kingekuwa kikubwa vile. Mwanzoni tuliona kama jambo la kawaida. Kulikuwa na siku simu yake haikupatikana. Tulidhani labda alikuwa busy au alisafiri ghafla. Lakini siku zilipoanza kupita bila message wala simu yoyote, moyo wangu ulianza kupata wasiwasi.

ENDELEA   KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad