Kulikuwa na kipindi maishani mwangu ambapo nilikuwa najiona sifai kabisa. Nilikuwa mtu mwenye ndoto nyingi, lakini kadri muda ulivyopita nilianza kupoteza kujiamini. Kila nilipojaribu jambo jipya, kulikuwa na watu waliokuwa tayari kunikosoa au kunicheka.
Wengine walikuwa wakiniambia siwezi kufanikiwa, huku wengine wakinifanya nijihisi mdogo bila sababu. Kwa kweli iliniumiza sana. Polepole nilianza kujifungia ndani ya dunia yangu mwenyewe.
ENDELEA KUSOMA










No comments:
Post a Comment