Kwa muda mrefu nilikuwa nikiishi na maumivu ya tumbo ambayo yaligeuka kuwa sehemu ya maisha yangu ya kila siku. Mwanzoni nilidhani ni hali ya kawaida tu labda chakula hakikunisitiri vizuri au ni uchovu wa kawaida. Lakini kadri siku zilivyopita, hali ilianza kuwa mbaya zaidi.
Kila nilipokula, tumbo lilianza kuuma vibaya kiasi kwamba wakati mwingine nilikosa hata hamu ya kula.
Mara nyingine nilikuwa najisikia kujaa haraka, na wakati mwingine maumivu yalikuwa makali kiasi cha kunifanya nikose usingizi usiku. Nilianza kuzunguka hospitali...ENDELEA KUSOMA










No comments:
Post a Comment