Kulikuwa na kipindi ambacho nilianza kuogopa kila binti yangu alipokuwa anatoka nje ya nyumba. Binti yangu alikuwa mtoto mwenye heshima na mchangamfu. Alikuwa karibu sana nami, alipenda shule, na mara nyingi alikuwa ananiambia kila kitu kinachoendelea maishani mwake.
Lakini kadri alivyokuwa anakua, nilianza kuona mabadiliko ambayo yalinipa wasiwasi mkubwa. Mwanzoni nilidhani ni hatua ya kawaida ya ukuaji.
KUENDELEA KUSOMA










No comments:
Post a Comment