𝗡𝗜𝗟𝗜𝗩𝗬𝗢𝗪𝗔𝗞𝗔𝗠𝗔𝗧𝗔 𝗪𝗘𝗭𝗜 𝗪𝗔𝗟𝗜𝗢𝗜𝗕𝗔 𝗞𝗨𝗞𝗨 𝗪𝗔𝗡𝗚𝗨 𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗧𝗔𝗧𝗨 𝗕𝗔𝗔𝗗𝗔 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗝𝗜𝗝𝗜 𝗖𝗛𝗢𝗧𝗘 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗜𝗡𝗗𝗪𝗔 𝗞𝗨𝗝𝗨𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗜𝗡𝗚𝗜𝗔 𝗪𝗔𝗣𝗜 𝗨𝗦𝗜𝗞𝗨 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Friday, May 15, 2026

𝗡𝗜𝗟𝗜𝗩𝗬𝗢𝗪𝗔𝗞𝗔𝗠𝗔𝗧𝗔 𝗪𝗘𝗭𝗜 𝗪𝗔𝗟𝗜𝗢𝗜𝗕𝗔 𝗞𝗨𝗞𝗨 𝗪𝗔𝗡𝗚𝗨 𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗧𝗔𝗧𝗨 𝗕𝗔𝗔𝗗𝗔 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗝𝗜𝗝𝗜 𝗖𝗛𝗢𝗧𝗘 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗜𝗡𝗗𝗪𝗔 𝗞𝗨𝗝𝗨𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗜𝗡𝗚𝗜𝗔 𝗪𝗔𝗣𝗜 𝗨𝗦𝗜𝗞𝗨

Kuku wangu walikuwa sehemu muhimu ya maisha yangu. Nilikuwa nimeanza kufuga polepole kama njia ya kuongeza kipato cha familia. Kila nilipouza mayai au kuku mmoja mmoja, nilihisi kama maisha yalikuwa yanaanza kusonga mbele kidogo. Lakini ghafla matatizo yalianza.

Usiku mmoja nilipoamka asubuhi kwenda banda la kuku, nilishtuka kuona kuku wawili hawapo. Mwanzoni nilidhani labda walitoka somehow au mbwa waliingia. Lakini nilipoangalia vizuri, niligundua wazi walikuwa wameibwa. Nilihuzunika sana, lakini nikajipa moyo nikisema labda haitatokea tena.

ENDELEA KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad