𝗠𝗭𝗘𝗘 𝗔𝗟𝗜𝗬𝗘𝗞𝗨𝗪𝗔 𝗔𝗞𝗜𝗖𝗛𝗘𝗞𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗩𝗜𝗝𝗔𝗡𝗔 𝗦𝗔𝗦𝗔 𝗔𝗠𝗘𝗣𝗔𝗧𝗔 𝗠𝗥𝗘𝗠𝗕𝗢 𝗪𝗔 𝗞𝗜𝗦𝗨𝗞𝗨𝗠𝗔 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Sunday, May 17, 2026

𝗠𝗭𝗘𝗘 𝗔𝗟𝗜𝗬𝗘𝗞𝗨𝗪𝗔 𝗔𝗞𝗜𝗖𝗛𝗘𝗞𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗩𝗜𝗝𝗔𝗡𝗔 𝗦𝗔𝗦𝗔 𝗔𝗠𝗘𝗣𝗔𝗧𝗔 𝗠𝗥𝗘𝗠𝗕𝗢 𝗪𝗔 𝗞𝗜𝗦𝗨𝗞𝗨𝗠𝗔

Naitwa Ng’wananzala, mkazi wa mkoa wa Shinyanga, mkoa wa wafugaji na wachimba madini. Mimi ni mwanaume ambaye nilikuwa na kila aina ya mali; ng’ombe wengi, mashamba, na nyumba nzuri, lakini sikuwa na mke.

Nilikuwa nimefikisha miaka 49 nikiwa bado niko peke yangu. Vijana wa kijijini kwetu walikuwa wakinitania na kuniita “mzee kijana” kwa sababu sikuwa na mtu wa kunipikia wala kunifulia. Nilihisi nina nuksi ambayo haitakaa iishe maishani mwangu.

ENDELEA  KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad