Kilimo kilikuwa chanzo changu kikuu cha mapato kwa miaka mingi. Nilikuwa nimewekeza nguvu, muda, na pesa nyingi kwenye shamba langu la mahindi kwa matumaini ya kupata mavuno mazuri ambayo yangesaidia familia yangu na kunipa faida nzuri. Mwanzoni kila kitu kilikuwa kinaenda vizuri.
Mahindi yalikuwa yameota vizuri, shamba lilikuwa linavutia, na kila mtu aliyepita alikuwa ananipa moyo kuwa msimu ule ungekuwa wa mafanikio makubwa. Kwa kweli nilikuwa na matumaini sana. Lakini ghafla mambo yakaanza kubadilika.










No comments:
Post a Comment