Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, akizungumza wakati alipozindua rasmi Siku ya Ziwa Victoria na kufunga kilele cha maadhimisho ya kwanza yaliyofanyika katika Viwanja vya Nanenane, Nyamhongolo jijini Mwanza, Mei 21, 2026.
(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, akimkabidhi cheti cha pongezi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Mazingira - Uganda Dkt. Alfred Okidi cha kutambua mchango wake katika uanzishwaji wa maadhimisho ya kwanza ya Siku ya Ziwa Victoria, yaliyofanyika katika Viwanja vya Nanenane, Nyamhongolo jijini Mwanza, Mei 21, 2026.
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, akifafanuliwa jambo na Meneja RUWASA - Mkoa Mwanza, Injinia Godfrey Sanga, wakati alipozindua rasmi Siku ya Ziwa Victoria na kufunga kilele cha maadhimisho ya kwanza yaliyofanyika katika Viwanja vya Nanenane Nyamhongolo jijini Mwanza, Mei 21, 2026. Wapili kushoto ni Mkurugenzi Mkuu RUWASA Injinia Wolta Kirita na kulia kwa Waziri Mkuu ni Waziri wa Maji, Jumaa Aweso.
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, akizungumza na Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, wakati alipozindua rasmi Siku ya Ziwa Victoria na kufunga kilele cha maadhimisho ya kwanza yaliyofanyika katika Viwanja vya Nanenane, Nyamhongolo jijini Mwanza, Mei 21, 2026.
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, akiwasili kwenye Viwanja vya Nanenane, Nyamhongolo, wakati alipozindua rasmi Siku ya Ziwa Victoria na kufunga kilele cha maadhimisho ya kwanza yaliyofanyika jijini Mwanza Mei 21, 2026.
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, akiagana na Viongozi mbalimbali walioshiriki katika maadhimisho ya kwanza ya Siku ya Ziwa Victoria, yaliyofanyika katika Viwanja vya Nanenane, Nyamhongolo jijini Mwanza, Mei 21, 2026.









No comments:
Post a Comment