RAIS DKT. SAMIA APOKEA TAARIFA YA SENSA YA WANYAMAPORI ILIYOFANYIKA NCHI NZIMA MWAKA 2024 – 2025 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Friday, May 29, 2026

RAIS DKT. SAMIA APOKEA TAARIFA YA SENSA YA WANYAMAPORI ILIYOFANYIKA NCHI NZIMA MWAKA 2024 – 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye kikao cha kupokea Taarifa ya Sensa ya Wanyamapori iliyofanyika nchi nzima mwaka 2024 – 2025 iliyowasilishwa na Waziri ya Maliasili na Utalii Dkt. Ashatu Kijaji kupitia Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI), tarehe 29 Mei, 2026 Ikulu Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa kikao cha kupokea Taarifa ya Sensa ya Wanyamapori iliyofanyika nchi nzima mwaka 2024 – 2025 iliyowasilishwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Ashatu Kijaji, tarehe 29 Mei, 2026 Ikulu Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad