Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akisalimiana na Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi, na viongozi mbalimbali alipowasili katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa ajili ya kuhudhuria Kongamano la Vijana, linalofanyika Jijini Dar es Salaam, Juni 2, 2026, ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambayo kilele chake ni Juni 5, 2026.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akiwasili katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa ajili ya kuhudhuria Kongamano la Vijana la Mazingira, linalofanyika Jijini Dar es Salaam, Juni 2, 2026, ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambayo kilele chake ni Juni 5, 2026.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akipanda mti eneo la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam linapofanyika Kongamano la Vijana kuhusu mazingira, Jijini Dar es Salaam, Juni 2, 2026.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi akipanda mti eneo la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mara ya baada ya kuwasili katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuhudhuria Kongamano la Vijana kuhusu mazingira, linalofanyika Jijini Dar es Salaam, Juni 2, 2026.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akikagua mabanda ya maonesho mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam linapofanyika Kongamano la Vijana kuhusu mazingira, linalofanyika Jijini Dar es Salaam, Juni 2, 2026 ambayo ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambapo kilele chake ni Juni 5, 2026.
PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS



















No comments:
Post a Comment