𝐑𝐄𝐀 𝐘𝐀𝐖𝐀𝐀𝐋𝐈𝐊𝐀 𝐖𝐀𝐃𝐀𝐔 𝐊𝐔𝐓𝐄𝐌𝐁𝐄𝐋𝐄𝐀 𝐁𝐀𝐍𝐃𝐀 𝐖𝐈𝐊𝐈 𝐘𝐀 𝐔𝐓𝐔𝐌𝐈𝐒𝐇𝐈 𝐊𝐖𝐀 𝐔𝐌𝐌𝐀 𝐂𝐇𝐈𝐍𝐀𝐍𝐆𝐀𝐋𝐈 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Wednesday, June 17, 2026

𝐑𝐄𝐀 𝐘𝐀𝐖𝐀𝐀𝐋𝐈𝐊𝐀 𝐖𝐀𝐃𝐀𝐔 𝐊𝐔𝐓𝐄𝐌𝐁𝐄𝐋𝐄𝐀 𝐁𝐀𝐍𝐃𝐀 𝐖𝐈𝐊𝐈 𝐘𝐀 𝐔𝐓𝐔𝐌𝐈𝐒𝐇𝐈 𝐊𝐖𝐀 𝐔𝐌𝐌𝐀 𝐂𝐇𝐈𝐍𝐀𝐍𝐆𝐀𝐋𝐈

Msangira aeleza utekekezaji wa miradi ya Wakala nchini

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu, Bw. Renatus Msangira kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA), leo Juni 16, 2026 amewaongoza watumishi wa REA katika kuwaeleza wadau kuhusiana na miradi mbalimbali inayotekelezwa, hatua iliyofikiwa na mipango iliyopo kwa wannachi wanaotembelea banda la REA katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Wiki ya Utumishi kwa Umma 2026 yaliyoanza leo jijini Dodoma.

Maadhimisho ya mwaka huu yamepambwa na kaulimbiu inayosema “Kuchochea Uwajibikaji Jumuishi kwa Huduma Endelevu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad